Ads 468x60px

NEW ARTIST

NEW ARTIST
Zao la music limekuwa nizao bora kwa vijana kwani lina wafanya vijana kujipatia ajira zao na kuwa watu tofauti katika maswala mbalimbali na hapa na mzungumzia IQ ambaye ni msanii chipkiz kutoka pande flanii ivi yaaani town of green city nidogo anaefanya vyema kwa track yake iitwayo "UMENUNA" na mwenye malengo ya kufika mbali maombi mema kwake na katika kazi yake nzuri mungu mtangulie

Random Posts

Search This Blog

Flickr

Social Share

Recent comments

Recent Comments

Popular Posts

Most Popular

Monday, March 14, 2016

GORKO FLOW FT DULLAYO-KICHUNA

              Tuki zungumzia HIP HOP Hapa tuna mzungumzia GORKO FLOW- ambae ni msanii wa hip hop anae fanya vizuri katika mziki wa hip hop na kwa sasa ni msanii anaetamba kwa nyimbo yake mpya inayo enda kwa jina la KICHUNA  ni moja kati ya ma mc wanao ipaisha mbeya na kuifanya kuwa house ya vipaji yaaa ni green vipaji.

               Katika mtaa GORKO FLOW alitujuza mengi kuhusu mziki wake toka alipotoka mpaka alipofikia kwasasa kwani kajifunza mengi na kupitia mengi katika swala la musiki in short gorko flow alisema “hakuna yes bila haso na hakuna haso bila kujia amini na kujua unacho fanya coz music huitaji msindani mwenye kishindo na si mshindani goigoi” hayo  ndoyo aliyo sema  na pia aka washauri wana music wezake kuwa sikuzote umoja ninguvu utengano ni udhaifu  

No comments:

Post a Comment

 

Sample text

Sample Text

Sample Text

 
Blogger Templates