IBRA CHANZO A.K.A HIP MAN
Hip man ni moja kati ya wasanii wanao fanya mziki wa rap
yani hip hop na nidogo anaiwakilisha vyema mbeya kwa ubora wa nyimbo zake
nyingi alizo fanya na zinazo bamba katika masikio ya watu lakini walikuwepo
imekuwa gunzo sana mtaani mpaka ikanipelekea kumtafuta hip man na kuongeanae
kuhusu nyimbo hii yaani walikuwepo alio mshirikisha mkali wa masauti yaani hapa
na mzungumzia baba lama baba yaani T.I.D nisiongee mengi sikiliza alichosema
hip man
Alisema hivi hip man “walikuwepo ni nyimbo ambayo
ameiandika kwa umakini mkubwa kwani alikuwa na lengo la kuwa fanya watu waweze
kumbuka safari yao ya maisha inatoka wapi na vip kuhusu mwisho wetu walikuwepo
wengi wenye majina kama nilivyo wataja katika song yangu na kuwaelezea wadhifa
wao lakini ujumbe unabaki kwetu sikuzote unapo tenda mema ndivyo yanabaki kama
memory kwenye akili zawatu na unavyo tenda mabaya unaacha chuki katika akili za
watu ujafu uja umbika mwanadamu kuwa bora ili uwe historia kwa wengine”
Lakin je anawazungumziaje wasanii chip kizi katika gema ya musiki “nikweli kwa sasa kumekuwa na wasanii wengi sana lakini
sio jambo linalo weza kuwa katisha tama kwamba hawa wezi kikubwa ni waweke
juudi na kujua nini wanafanya hiyo itawasaidia kwa namna moja au nyingine na
wakajikuta wako katika sayari nyingine kimaisha” step over ikaishia hapo
kwa hip man a.k.a ibra chanzo
No comments:
Post a Comment