Ads 468x60px

NEW ARTIST

NEW ARTIST
Zao la music limekuwa nizao bora kwa vijana kwani lina wafanya vijana kujipatia ajira zao na kuwa watu tofauti katika maswala mbalimbali na hapa na mzungumzia IQ ambaye ni msanii chipkiz kutoka pande flanii ivi yaaani town of green city nidogo anaefanya vyema kwa track yake iitwayo "UMENUNA" na mwenye malengo ya kufika mbali maombi mema kwake na katika kazi yake nzuri mungu mtangulie

Random Posts

Search This Blog

Flickr

Social Share

Recent comments

Recent Comments

Popular Posts

Most Popular

Monday, March 14, 2016

Si yakukosa hii.............................sumu mnazaleti ndani ya green city yaan kamjikadogo kenye bata zakutosha wataisona

                Hollaaaaaaa!!!!!!!!! Niteina katika green city habari mpya katika usiku wa pasaka pande flani hivi yaaani we tolk about ilejeeee kitanuka kuanzia tarehe 27/03/2016 kaka lama kaka          SUMA MNAZALETI katika mjengo  akifanya yake  utakosaje wakati furaha ipo mfukoni mwako siyo yakukosa njoo umuone kaka lama kaka anavyo ifanya usiku wa tarehe 27/03/2016 kuwa  mchana

Lakini pia kutakuwa na wasanii mbalimbali watakao ufanya usiku huo ukaesawa yaaani ma DJ na wasanii wengine watakuwepo yaani DJ.BROWN pamoja na DJ.Benja   na wegine kemkem usikose isee nyoo uone mzuka unavyo panda……………………….

No comments:

Post a Comment

 

Sample text

Sample Text

Sample Text

 
Blogger Templates