Hapa sasa tunazungumzia good production kutoka kwa most inc. Huyu ni mmoja kati ya ma producer wazuri na wanao fanya vizuri
katika mkoa wa ,mbeya na mwenye promo kubwa kwa wasanii wake.Huwezi amini ndiye
aliyeifanya kichuna ya gorko flow ikawa
vyema na katika media.Jina la kizushi wanamwitaga kinega au MR mommo kutokana
na ujuzi wa kufanya mixing nzuri na kufanya kinanda na gita viwe na
maelewano……………………
stop
over ikaishia hapo
Katika pitapita kimtaa
nilikutana na huyu jamaa tukapiga story kuhusu mengi yanayo jili katika
industry ya music na vip katika lengo la
kuwainua wasanii chipukizi most alisema kuwa harakati nyingi anazifanya kwa lengo
la kuwaweka sawa na kuwafanya wawe wenye majina tofauti na mwanzo na pia
changamoto ni nyingi zinazofanya wasanii
wengi chipukizi kukosa tumaini jipya katika game je? Unawashauli nini wasanii
hawa wanao katiswa tamaa na kujikuta wanapotea katika game la music na hivi
ndivyo alivyo jibu ‘Sikuzote sanaa inaitaji moyo kwani hakuna kitukizuri kama
kujiamini na kujituma katika game la
music’……
No comments:
Post a Comment