Ads 468x60px

NEW ARTIST

NEW ARTIST
Zao la music limekuwa nizao bora kwa vijana kwani lina wafanya vijana kujipatia ajira zao na kuwa watu tofauti katika maswala mbalimbali na hapa na mzungumzia IQ ambaye ni msanii chipkiz kutoka pande flanii ivi yaaani town of green city nidogo anaefanya vyema kwa track yake iitwayo "UMENUNA" na mwenye malengo ya kufika mbali maombi mema kwake na katika kazi yake nzuri mungu mtangulie

Random Posts

Search This Blog

Flickr

Social Share

Recent comments

Recent Comments

Popular Posts

Most Popular

Tuesday, March 15, 2016

gorko flow ...on step over,,,... kafunguka kiivi yaani

              Tumesha sikia mengi kuhusu gorko flow lakini hii ni mpya msaniiii wa hip hop gorko flow  atangaza  rasmi kichupa kina chokuja   cha ngoma yake kali inayo fanya vizuri katika redio yaaani na zungu mzia kichuna alio mshirikisha mkali wamasauti yaani dullayo na vip kuhusu kichuna mwenyewe yaani nazungumzia mwana dada atakae simama kama video queen  hapa ilikuwa hiviii sitaki kusema  
           Gorko flow kasema yuko tayari mashabiki wake kumchagulia video queen na atakubali kwa moyo mmoja kwani mashabiki wake ndio wanao msapot kwakila step anayo ifuata ...................je wewe una hisi nani atakuwa kichunaaaaaaa........au anafaa kuwa queen wa kichunaaaa.........?????? 

No comments:

Post a Comment

 

Sample text

Sample Text

Sample Text

 
Blogger Templates