Najua mnajua zax 4real ninani ukizungumzia upole na ukarimu pia hekima kwa wote na kila lika hapo unamzungumzia zax 4real, pia IQ Wanapenda kumuita de uniq mwenye salamu kwakila lika pia hekima na upole na nidhamu pia Shadamoo wengi wana mfahamu kwa ubola wake unyenye kevu na utu kwakila mtu sasa ndani ya mkono unao washa ya ni Most inc wakifanaya kolabo kali unajua lina itwaje "HELLOW" si yakukosa mtu wangu .......................
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment