Featured Posts
Wednesday, April 20, 2016
ZAX 4REAL,,,,,,,,IQ........SHADAMOO Ndani ya kolabo matata si yakukosa hii..........>>>>>>>>
Najua mnajua zax 4real ninani ukizungumzia upole na ukarimu pia hekima kwa wote na kila lika hapo unamzungumzia zax 4real, pia IQ Wanapenda kumuita de uniq mwenye salamu kwakila lika pia hekima na upole na nidhamu pia Shadamoo wengi wana mfahamu kwa ubola wake unyenye kevu na utu kwakila mtu sasa ndani ya mkono unao washa ya ni Most inc wakifanaya kolabo kali unajua lina itwaje "HELLOW" si yakukosa mtu wangu .......................
NEW TRACK GORKO FLOW FT SUMA MNAZALETI......>>>>>>>>>>
Huwezi amini kilichopo bt mzee wakichuna yaani gorko flow teina kafanya track yake mpya na suma mnazaleti unataka kujua ikoje na ina itwaje usikose basi coz nitaitangaza rasmi juma mosi...............
Friday, April 1, 2016
Thursday, March 24, 2016
T.M.T family.on step over
Great dance kutoka mbeya yaani hapa tunawazungumzia TMT family wanaofanya vyema katika dance wajua ni
watuwengi wana fanya kamaivi lakini hawa ni watu wa tofauti na wengine kwani
wanafanya hadi wana boa
Nikiwa kitaa nili meet nao hawajamaa katika program nzima ya
step over nao walikuwa na haya yakusema
Wajua ki paji cha ma dance nikipaji kinachokuwa kwa kasi
tofauti na huko nyuma kwa huko nyuma
wengi walikuwa wanatuchukulia kama wahuni flani
nakuto jaili kuwa kipaji kinaweza kuwa ajili kwa maisha ya binaadamu ila
tuna shukuru mungu kwa sasa watu wanaelewa nini tuna fanya na wana tupasapoti
sana kwa hiki
Na je wana washauri nn madance wengine
Kiukweli hatuwezi kusema mengi ila tuna waambia kwanza wakaze
na watambue wanacho kifanya kwan msingi mzuri wa kama sisi ni kujituma na
kufanya zoezi kwa nguvu …………..
Haya kazi kwenu
Subscribe to:
Posts (Atom)