Great dance kutoka mbeya yaani hapa tunawazungumzia TMT family wanaofanya vyema katika dance wajua ni
watuwengi wana fanya kamaivi lakini hawa ni watu wa tofauti na wengine kwani
wanafanya hadi wana boa
Nikiwa kitaa nili meet nao hawajamaa katika program nzima ya
step over nao walikuwa na haya yakusema
Wajua ki paji cha ma dance nikipaji kinachokuwa kwa kasi
tofauti na huko nyuma kwa huko nyuma
wengi walikuwa wanatuchukulia kama wahuni flani
nakuto jaili kuwa kipaji kinaweza kuwa ajili kwa maisha ya binaadamu ila
tuna shukuru mungu kwa sasa watu wanaelewa nini tuna fanya na wana tupasapoti
sana kwa hiki
Na je wana washauri nn madance wengine
Kiukweli hatuwezi kusema mengi ila tuna waambia kwanza wakaze
na watambue wanacho kifanya kwan msingi mzuri wa kama sisi ni kujituma na
kufanya zoezi kwa nguvu …………..
Haya kazi kwenu
No comments:
Post a Comment