NI HABARI KWA HABARI MATUKIO KWA MATUKIO ACHAWAONGEE SISI TUTAPELEKA HABARI KWA JAMII HUSIKAA LETE HABARI KUHUSU YULE NA HUYU
Ads 468x60px
NEW ARTIST
Zao la music limekuwa nizao bora kwa vijana kwani lina wafanya vijana kujipatia ajira zao na kuwa watu tofauti katika maswala mbalimbali na hapa na mzungumzia IQ ambaye ni msanii chipkiz kutoka pande flanii ivi yaaani town of green city nidogo anaefanya vyema kwa track yake iitwayo "UMENUNA" na mwenye malengo ya kufika mbali maombi mema kwake na katika kazi yake nzuri mungu mtangulie
tisha sanaa
ReplyDelete